Simba SC Official 1.23 [免費版]

軟體介紹

Simba Sports Club ni timu ya mpira wa miguu yenye makao makuu jijini Dar essalaa. Michezo yake ya Nyumbani huwa inachezwa kwenye uwanja wa Uhuru au Uwanja waTaifa. Simba
ni kati ya timu mbili kubwa zenye mashabiki wengi Nchini Tanzania.
Klabu hii ilianzishwa mwaka 1936, Kabla ya kujulikana kama Simba Sports Club iliwahi kuitwa Queens, Eagles na baadaye Sunderland, mwaka 1971 Simba Sports Club ilibadilisha
jina na kuitwa Simba Sports Club.
Katika mashindano ya kimataifa, Simba SC ndio timu pekee nchini Tanzania iliyowahi kufika fainali ya Kombe la CAF mwaka 1993 baada ya kupoteza mechi dhidi ya Stella
Abijanya Ivory Coast.
Pia Simba SC imekuwa na matokeo mazuri katika mashindano makubwa ikiwemo kuitoa mashindanoni Zamalek ya Misri ambao walikuwa mabingwa wa CAF 2003 na kuingia kwenye makundi
ya mashindano hayo. Kabla ya kuitoa Santos ya Afrika ya Kusini.
Simba SC huvaa jezi nyekundu au nyeupe.

歷史版本

Free Download 二維碼下載
  • 軟體名稱: Simba SC Official
  • 軟體分類: 健康塑身
  • APK名稱: twendetech.eag.simba
  • 最新版本: 1.23
  • 支持ROM: 4.0及更高版本
  • 軟體大小 : 3.32 MB
  • 更新日期: 2018-04-26